Unamfahamuje mrembo huyu?

Unamfahamuje mrembo huyu?

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
1604425_544224569030843_3155007046906887475_n.jpg

Huyu dada alishawahi kuwa mtangazaji wa TBC hapa Tanzania miaka ya nyuma kidogo. Alijulikana kwa jina la Lisa kwenye tasnia hiyo ya habari. Nje ya tasnia ya habari alijulikana kama Pendo. Ningependa kujua alipo miaka hii kwani simuoni tena TBC na anafanya nini kwa sasa.

Pia ningependa kujua vile wewe binafsi unamfahamu mrembo huyu.

Asanteni kwa ushirikiano.
 
Mimi nafahamu alipo na anachofanya ila sikwambii mpaka na wewe utoe picha yako tukujue na tujue unafanya kazi gani
 
Mimi nafahamu alipo na anachofanya ila sikwambii mpaka na wewe utoe picha yako tukujue na tujue unafanya kazi gani

huyu ni celebrity na alishawahi kufanya kazi ya kumfanya ajulikane..huyu alikuwa na fans wake ambao huenda wangependa kujua aliko kama nilivyo mimi. sijawahi kufanya kazi ya namna hiyo hivyo haina maana kujiweka wazi.
 
Mmmmmh

Umeileta hadi huku....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yuko ulaya I think Holland, anafanya kaz na kusoma,
 
Back
Top Bottom