Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010

Huyu dada alishawahi kuwa mtangazaji wa TBC hapa Tanzania miaka ya nyuma kidogo. Alijulikana kwa jina la Lisa kwenye tasnia hiyo ya habari. Nje ya tasnia ya habari alijulikana kama Pendo. Ningependa kujua alipo miaka hii kwani simuoni tena TBC na anafanya nini kwa sasa.
Pia ningependa kujua vile wewe binafsi unamfahamu mrembo huyu.
Asanteni kwa ushirikiano.