Unamfahamuje wife material?

Unamfahamuje wife material?

Tatizo watu hapa waliugeuza ule uzi kama fimbo ya kumchapia huyu mwali. Yani hata akiandika jambo la maana, wengi humuhukumu kuoitia uleuzi...๐Ÿ˜‚.
Basi nilianza kumuona akiwa mnyonge na akaikosa amani na uhuru wa kuandika hapa ndani.
Asante kwa comment sijafuta post admin kaifuta
 
Akili unaigunduaje?????????????yaani afanye Nini na Nini asiwe na mazoea ya kufanya ndo ugundue Ana akili



Kujitambua ndo point kubwa sana hiyo๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Maana wengine hata mtu akivuta sigara wanamuona Hana akili...lakini hiyo Ni tabia au mazoea mabaya maana wako maprofesa waliofanikiwa wanavuta sigara.....kwa hiyo tujielekeze kwenye vigezo vya physical vina vyoweza kuonyesha walau kidogo anajitambua...yapo mapungufu yanayosababishwa na malezi hayamaanishi mke huyo hawez kuja kubadilika
 
Maana Kuna mwingine ye kwake akiona mtu anapost Sana picha zake kwenye social media anamuona kuwa Hana akili... mwingine anachukulia poa.....ila kwenye suala la aibu nako tuwe makini tusije kupigwa wengine Ni mabingwa wa kuigiza
ni muhimu kumsoma kwa muda mrefu hii itasaidia sana kujua yupi sahihi kwako
 
Nlkua na demu ana akili sana za darasani ila za akili za nje yaani za maisha na kujitambua yeye ni nani na afanye nini kwa wakati gani alkua HANA.

Huyu unamzungumziaje kwa kigezo chako hiki..?!
.

Wakati mwingine mashuleni wale mabingwa wa kukalili wanaonekana ndio wenye akili.
Pengine dem wako alikuwa ni mjinga tu lakini akili anazo. Mfundishe uone kama atakuelewa, asipokuelewa ujue ndo walewale.
 
Huwezi kujua mke kama ni material au sio material kwa kuangalia sura na umbo.Utamjua kama ni material kwa kumshirikisha Mungu kwa njia ya sala. Mungu atakupatia mke anayejitambua,na anayesimama katika nafasi yake kama mke hivyo anajua majukumu yake.Na ili upate wife material lazima na wewe uwe husband material maana Mungu anakupa wa kufanana na wewe.
 
Mmmh wife material!!!

nadhani huyu utamgundua kwa kumpima Kama amekaa kimaslahi zaidi, maana siku hizi unaweza ona unapendwa, anakujari kumbe yupo na mpango wake makakati kuufanikisha kupitia wewe.
 
Unaposema nyota unaongelea Astrology zile zinazosomwa kwenye Horoscopes?
Hapana sizo hiyo ni zakizungu na waswahili .
Kuna njia yakuifahamu nyota yako inataka nini nawakina nani wanatakiwa wawe nawewe katika maisha yako ya ndoa .
Unaweza hangaika na matajiri kumbe nyota yako ipo kwa maskini au watu wakaida
 
Back
Top Bottom