Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
- #81
duu๐๐๐๐๐๐upo serious mkuuKurukaruka kwa Maharage ndiyo kuiva kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duu๐๐๐๐๐๐upo serious mkuuKurukaruka kwa Maharage ndiyo kuiva kwake
Asante kwa comment sijafuta post admin kaifutaTatizo watu hapa waliugeuza ule uzi kama fimbo ya kumchapia huyu mwali. Yani hata akiandika jambo la maana, wengi humuhukumu kuoitia uleuzi...๐.
Basi nilianza kumuona akiwa mnyonge na akaikosa amani na uhuru wa kuandika hapa ndani.
Unaposema nyota unaongelea Astrology zile zinazosomwa kwenye Horoscopes?Nyota lazima ziendane zisipoendana mkioana mtaachana seriously
mbona kama unawatenga wenye akili mkuu ko unataka kuoa division zero tu awa wanaolewa na naniAsiwe amefaulu division one
duu๐๐๐๐๐๐Khaaaah!!
Akili unaigunduaje?????????????yaani afanye Nini na Nini asiwe na mazoea ya kufanya ndo ugundue Ana akili
Kujitambua ndo point kubwa sana hiyo๐๐
Maana wengine hata mtu akivuta sigara wanamuona Hana akili...lakini hiyo Ni tabia au mazoea mabaya maana wako maprofesa waliofanikiwa wanavuta sigara.....kwa hiyo tujielekeze kwenye vigezo vya physical vina vyoweza kuonyesha walau kidogo anajitambua...yapo mapungufu yanayosababishwa na malezi hayamaanishi mke huyo hawez kuja kubadilika
ni muhimu kumsoma kwa muda mrefu hii itasaidia sana kujua yupi sahihi kwakoMaana Kuna mwingine ye kwake akiona mtu anapost Sana picha zake kwenye social media anamuona kuwa Hana akili... mwingine anachukulia poa.....ila kwenye suala la aibu nako tuwe makini tusije kupigwa wengine Ni mabingwa wa kuigiza
Duu mkuu๐๐๐๐[emoji654]AWE AMETOKA KWA BWANA (aliyetoka kuachika )
hahahahahahahah sawa mkuuAwe n tarkoo tu. Mengn atatumia akili yangu
hahahahahahahah sawa mkuuAwe n tarkoo tu. Mengn atatumia akili yangu
aulizwe Simbachawenembona kama unawatenga wenye akili mkuu ko unataka kuoa division zero tu awa wanaolewa na nani
.Nlkua na demu ana akili sana za darasani ila za akili za nje yaani za maisha na kujitambua yeye ni nani na afanye nini kwa wakati gani alkua HANA.
Huyu unamzungumziaje kwa kigezo chako hiki..?!
Hata ukimchunguza huwezi kumjua maana atafake, ili kuvunja mzizi wa fitna owa kwanza. Huko ndani kuna mengi zaidi.ni muhimu kujua mapema mkuu ilikuepusha mambo mengine
PersonalityHabari wanabodi wa MMU,
Hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material?
Hapana sizo hiyo ni zakizungu na waswahili .Unaposema nyota unaongelea Astrology zile zinazosomwa kwenye Horoscopes?
Mwenye akili
Mnyenyekevu
Mcha Mungu
Anaejitambua
Mengine malizieni wenyewe