Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
mkuu ..ndugu hakopeshwi hapo ni sawa na umekopesha ukweni...hao ndio unasikia wanaitwa ndugu lawamaYaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Nduguu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi ,wakafaham umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé anakutukana matusi, ana kublok , humpati tena, ana hama hama makazinyake wilaya kwa wilaya.
Unamfanyaje?
Ukimwendea kwa Mganga Umuue afe ni dhambi?.
Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?
Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?
Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
Nimegundua kuna watu wanauwawa kwa sababu ndio haki ya hukumu yao.Angekuwa ni Munch wa Annabelle angeuzaa makalio ili akulipe ila huyu ndugu yako anaonekana ni pigo za Chizi Maarifa, sidhani kama atakulipa😁
Sasa kwann anitukane, anitambie, aniblok licha ya haya yote , anataka Nifanye nn ili namm nijihisi nmerejesha Heshima yangu ?.mkuu ..ndugu hakopeshwi hapo ni sawa na umekopesha ukweni...hao ndio unasikia wanaitwa ndugu lawama
Hakika mkuu, wanastahili.Nimegundua kuna watu wanauwawa kwa sababu ndio haki ya hukumu yao.
Huyu tumezaliwa tumbo moja Mkuu.Hakika mkuu, wanastahili.
Na hii dunia hakuna haki
Nishawahi shuhudia mtu anageukwa na baba yake sembuse hawa wengine
🎯🎯ndugu ni wezi,wazembe ,matapeli,masintch,wanna roho mbaya
Never make a deal with relatives
Keyboard warrior naona umechoka kuhamasisha maandamano. Nikuunge mkono tu kwa maamuzi haya, kule ulikuwa unapoteza muda tu.Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Nduguu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".