Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé anakutukana matusi, ana kublock humpati tena, anahama hama makazi yake wilaya kwa wilaya.
Unamfanyaje?
Ukimwendea kwa Mganga umuue ni dhambi?.
Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?
Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?
Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.