Stay calm!Sasa kwann anitukane, anitambie, aniblok licha ya haya yote , anataka Nifanye nn ili namm nijihisi nmerejesha Heshima yangu ?.
Kwenye mibisu hapo watakufunga.Kama ni wewe unafanyaje ?.
Next time toa ambacho upo tayari kupoteza,Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé anakutukana matusi, ana kublock humpati tena, anahama hama makazi yake wilaya kwa wilaya.
Unamfanyaje?
Ukimwendea kwa Mganga umuue ni dhambi?.
Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?
Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?
Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
Achana nae.Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé anakutukana matusi, ana kublock humpati tena, anahama hama makazi yake wilaya kwa wilaya.
Unamfanyaje?
Ukimwendea kwa Mganga umuue ni dhambi?.
Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?
Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?
Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
pole sana ndugu hakopeshwi kama anashida ya 5ml ni bora umwambie nina 1m,2m au 3m au sina kabisa na ukimpatia mpatie kwa mashariti akiichezea asiludi tena kukuomba msaada..Mimi ndugu huwa simkopeshYaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé anakutukana matusi, ana kublock humpati tena, anahama hama makazi yake wilaya kwa wilaya.
Unamfanyaje?
Ukimwendea kwa Mganga umuue ni dhambi?.
Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?
Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?
Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
Wewe huna hela ya kumkopesha mtu, wacha kujinyanyua mabega.Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé anakutukana matusi, ana kublock humpati tena, anahama hama makazi yake wilaya kwa wilaya.
Unamfanyaje?
Ukimwendea kwa Mganga umuue ni dhambi?.
Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?
Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?
Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
Muachie Mungu. Kama uliweza kupata 5m ukampa basi unaweza kupata nyingine. Dunia itamfunza.Huyu tumezaliwa tumbo moja Mkuu.
Naongea haya nikiwa kwenye Kipimo Changu cha juu cha maumivu yaliyojawa na Hasira ndani yake , nikama vile kua kwetu mbalimbali ndiko kunachelewesha nisifanye Tukio .
Yaan kwann anitukane ? Aniblok? Anitambie ?.
Ni kosa kubwa ni sawa umkopeshe mama au mama mkwe!Ndugu hakopeshwi