Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".

Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.

Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.

Baadaé anakutukana matusi, ana kublock humpati tena, anahama hama makazi yake wilaya kwa wilaya.

Unamfanyaje?

Ukimwendea kwa Mganga umuue ni dhambi?.

Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?

Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?

Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
 
Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Nduguu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".

Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi ,wakafaham umempa.

Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.

Baadaé anakutukana matusi, ana kublok , humpati tena, ana hama hama makazinyake wilaya kwa wilaya.

Unamfanyaje?

Ukimwendea kwa Mganga Umuue afe ni dhambi?.

mkuu ..ndugu hakopeshwi hapo ni sawa na umekopesha ukweni...hao ndio unasikia wanaitwa ndugu lawama
 
Hakika mkuu, wanastahili.

Na hii dunia hakuna haki

Nishawahi shuhudia mtu anageukwa na baba yake sembuse hawa wengine
Huyu tumezaliwa tumbo moja Mkuu.

Naongea haya nikiwa kwenye Kipimo Changu cha juu cha maumivu yaliyojawa na Hasira ndani yake , nikama vile kua kwetu mbalimbali ndiko kunachelewesha nisifanye Tukio .

Yaan kwann anitukane ? Aniblok? Anitambie ?.
 
Unamuacha tu lakini hutakiwi kumkopa tena au kumsaidiaKwa chochote.Ki ukweli hata kama ni ndugu yako mkope mwisho milioni Moja ili hata akikutapeli isimfikishe kokote.
 
Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Nduguu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".

Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi ,wakafaham umempa.

Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.

Baadaé anakutukana matusi, ana kublok , humpati tena, ana hama hama makazinyake wilaya kwa wilaya.

Unamfanyaje?

Ukimwendea kwa Mganga Umuue afe ni dhambi?.

Huko vyombo vya sheriani ,bila ushahidi wa kupeana kunaendeka?

Ukiamua kumtafuta tu uso kwa USO, Umtie hata Mibisu ni dhambi?

Kinachouma sio Pesa, ni namna Mtu anavyokutakana, anavyokutambia , anavyokudharau nakukuona wee huna lolote la kufanya , Wengine Huwa hawana uwezo wa kuhimili mambo kama haya.
Keyboard warrior naona umechoka kuhamasisha maandamano. Nikuunge mkono tu kwa maamuzi haya, kule ulikuwa unapoteza muda tu.

Na ndiyo maana hata ndugu walikuona siyo makini wakaona ngoja wakudhulumu milioni zako
 
Back
Top Bottom