Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

Mkuuu hii PESA ndefu sana, Siwezi kuiacha, yaan Niko katika machaguzi mawili TU

Niipate Pesa yangu kwa namna yoyote ile au nimfanyie kitu kibaya nitulize Maumivu .

Mwaka mzima, na bado naambulia matusi , nablokiwa na kutambiwa, kwamba "Fanya chochote unachotaka mbwa wee"?.


Daahhh
 
huyo ni wakumuua kabisa
 
Kumkopesha ndugu ni mtego, kama ni lazima kumkopesha mkopeshe unayoweza kusamehe bila kuvunja undugu. Infact ni Watanzania wachache wenye sifa ya kukopeshwa. Watz wengi wana vinasaba vya utapeli na kutokuwa na makini.
 
"Feruzi muharibieee muharibie huyo, mkate kidafuuu"

Unamachaguo mawili, kusamehe ama kulipa kisasi/kupambania hela yako. Ikiwa kama kuna moja kati ya hayo litakupa amani FANYA hivyo. Usiwe vugu vugu, amua moja.
 
Inasikitisha sana.

Mimi hapa Kuna mtu Laki mbili tu nataka nitoke Dar nimfuate Moro nikamuadabishe
 
Njoo hapa Kibaoni Rukwa na 1m, nimbabue kwa radi ya mchana wa jua kali. Au ukitaka arudishe namba sawa tu
 
MKOME WACH WANAIMBA KILA SIKU HAWA WATU MSIWAKOPE.NDUGU
WA UKOO
MMKE.MUME
MADEMU ZAKO
BFRIEND
WAKA KAMA 7 MARUFUKU
RAFIKI
MARFUKU KWENYE HELA
 
Hela na ndugu = oil and water...
 
Sasa kwann anitukane, anitambie, aniblok licha ya haya yote , anataka Nifanye nn ili namm nijihisi nmerejesha Heshima yangu ?.
Mkuu kama una uwezo wa kuhimili maumivu/hasara ya kupoteza mil 5 yako, nakusihi hata hayo mengine achana nayo. Usije ukafanya jambo ukasababisha ukoo mzima wakakuona wewe mbaya. Kubali tu shukrani ya punda ni mateke!!
 

Nina ushuhuda wa hili kama ulivyo andika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…