Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Nimependa kuskia hvo .Sijawahi na sifikirii
Alafu unaongea sana na umeweka ID JICHO...Unaona wanafaidi sana kubambiwa?
Basi kabambiwe wewe. Utafirimbwa.
Anabambiwa jamni na ni mtu wa mtu et imagine !!!!Sa kwenda disco na kucheza kuna shida gani jamani 😅
Mkuu mambo mengine uwe unatumia tuu hata akili ya kuzaliwa..Sa heshima inahusiana vp na starehe za mtu mkuu?
Yaani wee acha tuu..Kulewa sio tatzo.... shida n akilewa anakuwa ni mtu wa aina gani.
Hii imeniumiza sana mkuu seriously nimekua disappointedPole sana kijana,
Ndio kamchumba ka ndoto zako hako?
Next time nenda naye ukambambie wewe, ila kwa sasa, vumilia dawa ikuingie vizuri 😆Anabambiwa jamni na ni mtu wa mtu et imagine !!!!
Bia tamu kwa wanao iweza tuu ila mwenzangu na mm kama ujiwezi achana na hayo mambo aiseeeMoja kati ya maneno ya kipumbavu niliyowahi kuyasikia
- "Asikwambie mtu bia tamu biaaa biaaa bia tamu aweee"
Ukimuoa atatuliaNimependa kuskia hvo .
Yaani mood imebadilika baada ya kuona status ya yule ambaye namuheshimu alafu anachofanya aiseee
Huko disco/club mnataka mjazane wanaume watupu. Una agenda gani weweNimependa kuskia hvo .
Yaani mood imebadilika baada ya kuona status ya yule ambaye namuheshimu alafu anachofanya aiseee
siku moja nimeinusa ile kitu inatema mmmhh daah! Nikajiuliza mtu anakunywaje huu uozoBia tamu kwa wanao iweza tuu ila mwenzangu na mm kama ujiwezi achana na hayo mambo aiseee