Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.

I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Tangu lini umeambiwa wadada wanaheshimiwa?

Poor brain indeed
 
Haka ka binti hakana adabu, unampenda lakini yeye kazi yake kwenda kubong'oa bong'oa huko kwa club ...!!!

Aliye karibu na huyu kijana tunaomba aongeze umakini tafadhali..!
 
Back
Top Bottom