Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Hivi kuna pombe inalewesha vibaya kama wine? Mimi ni mlevi wa pombe kali mchanganyiko lakini sikukuu ya mwaka mpya nilikunywa pombe zangu kiasi nikaenda nyumbani nikanywa wine glass 1½ nikalewa vibaya mpaka kesho yake asubuh nikaamka hovyo
Kwa kweli hata mimi wine sio rafiki kabisa inachukuliwa moja kwa moja kwenye damu....kuna yale ya dodoma halafu kuna yale ya SA yanalewesha bwana
 
Duh basi mwili wako upo tofauti na wengine. Pombe kali mimi sithubutu. Wine hata chupa mbili nakunywa na nipo vzr
Basi pombe kali unaiogopa tu mdomoni ila ukinywa utaifurahia kuliko wine.
Mimi pombe kali inanipa starehe na kutamani kuendelea na Viber ila hizi wine nakua kama zezeta na uchovu mwingi
 
Basi pombe kali unaiogopa tu mdomoni ila ukinywa utaifurahia kuliko wine.
Mimi pombe kali inanipa starehe na kutamani kuendelea na Viber ila hizi wine nakua kama zezeta na uchovu mwingi
Pombe kali kama unakunywa sumu ladha yake, hapana kwa kweli..bora ninywe beer
 
Kwani wakati unamtongoza hakuwa hivyo? Au ulijua atabadilika kwaajili yako?

Kumbe umeokota wa uswazi halafu unalalamika. Tatizo ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…