franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Jembe Lina mantiki kuzidi hivyo Viwanda UturukiUtaondakaje ktk jembe la mkono kama huna takwimu za wanaotumia jembe la mkono kwa nchi nzima? #Tunadhani hilo swali halina mantiki kumbe hoja zetu mitandaoni ndizo hazina mantiki.πππ
Siyo pole ndiyo uhalisia wa mtanzania, kijijini kwenu wangapi wanatractor au jembe la ng'ombe?Mmmh pole Sana ndugu
We acha tu,Karani anawaza posho zake. Akununulie jembe?
Posho washalipwa?We acha tu,
inasikikitisha sana lakini ndiyo ukweli. nchi majirani za uganda na rwanda kwa mfano, wamaexport vyakula kwend auingereza. serikali zao ziko bize kuchangamkia soko la vyakula ulaya. sisi serikali yetu iko kimya, iko bize na matozo yasiyoeleweka.Hatufanyi large scale farming; familia nyingi zinalima hela 1 au 2 tu na zinatosha kuuza kwa watu wengine. Tukifanya large scale hapa vyakula vyote vinaoza.
Nimempa hapa gomba za kutosha atafune tafune huko, ila sijamuuliza kuhusu poshoPosho washalipwa?
Pemba tunawasubiri tuwaweke kitakoNimempa hapa gomba za kutosha atafune tafune huko, ila sijamuuliza kuhusu posho
Haya, urojo?Pemba tunawasubiri tuwaweke kitako
Urojo na tasi kwa wingi hapa Pemba. Ushan'fahamuHaya, urojo?
Nakujua mie wewe atiiUrojo na tasi kwa wingi hapa Pemba. Ushan'fahamu
Unamilik redio?Nakujua mie wewe atii
Nipo njiani mremboJamani mbona mie hawajaja kunihesabu??
Nisije nikakosa mgao [emoji134]
Kila swali kwenye dodoso la sensa Lina mantiki kubwa. Sikutegemea ulidharau hasa kwenye nchi ambayo 80% ya wananchi wake hutegemea kilimo kama njia kuu ya uchumi.Wakati wenzetu wanazungumzia mapinduzi ya viwanda awamu ya 5 (5IR Wala si 4IR) sisi tunaulizana umiliki wa jembe la mkono?
80% ya vitabuniKila swali kwenye dodoso la sensa Lina mantiki kubwa. Sikutegemea ulidharau hasa kwenye nchi ambayo 80% ya wananchi wake hutegemea kilimo kama njia kuu ya uchumi.
Anyway kwa kuandika hapa tumeweza kujua kiwango chako cha UJINGA