franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Jembe Lina mantiki kuzidi hivyo Viwanda UturukiUtaondakaje ktk jembe la mkono kama huna takwimu za wanaotumia jembe la mkono kwa nchi nzima? #Tunadhani hilo swali halina mantiki kumbe hoja zetu mitandaoni ndizo hazina mantiki.🙏🙏🙏