Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

Utaondakaje ktk jembe la mkono kama huna takwimu za wanaotumia jembe la mkono kwa nchi nzima? #Tunadhani hilo swali halina mantiki kumbe hoja zetu mitandaoni ndizo hazina mantiki.🙏🙏🙏
Jembe Lina mantiki kuzidi hivyo Viwanda Uturuki
 
Hatufanyi large scale farming; familia nyingi zinalima hela 1 au 2 tu na zinatosha kuuza kwa watu wengine. Tukifanya large scale hapa vyakula vyote vinaoza.
inasikikitisha sana lakini ndiyo ukweli. nchi majirani za uganda na rwanda kwa mfano, wamaexport vyakula kwend auingereza. serikali zao ziko bize kuchangamkia soko la vyakula ulaya. sisi serikali yetu iko kimya, iko bize na matozo yasiyoeleweka.

itashangaa kenya ndiye exporter wa maparachihi kwenda uingereza lakini ni maparachichi ya njombe. Mazao yanapita Namanga yanaoshwa nairobi na kubandikwa stika za kenya kisha yanasafirishwa.
 
Wakati wenzetu wanazungumzia mapinduzi ya viwanda awamu ya 5 (5IR Wala si 4IR) sisi tunaulizana umiliki wa jembe la mkono?
Kila swali kwenye dodoso la sensa Lina mantiki kubwa. Sikutegemea ulidharau hasa kwenye nchi ambayo 80% ya wananchi wake hutegemea kilimo kama njia kuu ya uchumi.

Anyway kwa kuandika hapa tumeweza kujua kiwango chako cha UJINGA
 
Kila swali kwenye dodoso la sensa Lina mantiki kubwa. Sikutegemea ulidharau hasa kwenye nchi ambayo 80% ya wananchi wake hutegemea kilimo kama njia kuu ya uchumi.

Anyway kwa kuandika hapa tumeweza kujua kiwango chako cha UJINGA
80% ya vitabuni
 
Back
Top Bottom