Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

huyu binti hata mimi ananichanganya sema waweza kuta injini ishanoki mpaka basi!
 
Nilidhani sauti ni ya Maunda. Kitu ambacho sijapenda kwenye tangazo ni ukweli kuwa umaarufu unahusianishwa na uzungu. Dada ana mabutu yake, anaanza kuimba mara wigi hilo!
 
Yule modo anaitwa vero kamaliza jitegemee now yupo udsm anasoma masscom na alieimba ni maunda jamani co enika na mwenye nyimbo ni mzee king kick over.
 
Dada huyo yuko bomba rangi ya mgomba kimaukweli nimemkubali
 
Back
Top Bottom