Unamjua William Francis Bamphylade

Unamjua William Francis Bamphylade

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Hili kaburi liko Bagamoyo, nila Distritc Commissioner wa Kwanza wa Waingereza, Honorable William Francis Bamphylde, (1892-1930).

Alijiua baada ya kugundua houseboi wake anafanya mapenzi na mkewe (mzungu) Waingereza walikataa kupokea maiti ya mtu aliyejiua, akazikwa pembeni kwenye makaburi ya Wajerumani, pale pwani chini ya makaburi ya Mwanamakuka

4d76a8ac43e8735634294f31beb97f75.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walitengezeza uzio na litakaa miaka bila kupotea!!

ila ni mzungu mstaarabu wengine angechinja na kumgeuza houseboi kitoweo
 
kupigiwa kubaya eti, tena mpigaji mwenyewe houseboy loo! afadhari alivyofanya.
 
Tena mweusi, hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda
miaka hayo waafrika walikuwa wanaavaa makanzzu bila chupi , wakati ustaarabu wa kuvaa chupi wazungu waalikuwa nao, kwa hiyo miaka hiyo motto waa kiume mwenye mzigo wa futi 8 alionekana ana kibamia, mama wa kizungu lazimaa alipagaawa
 
kupigiwa kubaya eti, tena mpigaji mwenyewe houseboy loo! afadhari alivyofanya.
miaka ya 30 watumishi wa kiafrika walikuwa wanavaa kanzu, wakati wazungu walikuwa wana ustaarabu wa kuvaa chupi na kaputula, kwa hiyo mtumishi wa kiume akiwa na mzigo inchi 8 , Enzi hizo anaonekana ana kibamia, mama alipagawa sana, dudu refu
 
miaka hayo waafrika walikuwa wanaavaa makanzzu bila chupi , wakati ustaarabu wa kuvaa chupi wazungu waalikuwa nao, kwa hiyo miaka hiyo motto waa kiume mwenye mzigo wa futi 8 alionekana ana kibamia, mama wa kizungu lazimaa alipagaawa
[emoji16] [emoji16] istoshe Mzee mwenyewe alikuwa na mishemishe kibao so mommy akaamua kujiongeza kwa homeboy
 
Back
Top Bottom