Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Hili kaburi liko Bagamoyo, nila Distritc Commissioner wa Kwanza wa Waingereza, Honorable William Francis Bamphylde, (1892-1930).
Alijiua baada ya kugundua houseboi wake anafanya mapenzi na mkewe (mzungu) Waingereza walikataa kupokea maiti ya mtu aliyejiua, akazikwa pembeni kwenye makaburi ya Wajerumani, pale pwani chini ya makaburi ya Mwanamakuka
Sent using Jamii Forums mobile app