Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Mimi wa kwangu nikimuona sasa hivi najiuliza hivi macho yangu yalikuwa na matatzo gani nilikuwa ninaona nini kwake
Hapo kwenye ubovu ndio tunaungan na nyinyi yaani nikikutana nae najiulizaga nilivurugwa na nini kwake?
 
Aliniandikia Hadi barua

"nikiwa mkubwa nitavaa suruali za kubana ili unipende"
kipindi hiko suruali za kike tarumbeta ndio zinaingia ingia

Nafahamu huwezi kukosa humu niko na picha zako tulizopiga na mapengo yako Uko pembeni yangu unafurahiiiiii baada ya kukutoa out na kukununulia pipi 😅.....
 
Primary nilipenda binti Fulani anaitwa Angel she was very cute wakati huo ila now namuona wa kawaida sana alinitesa haswa huyu Crush na wakati huo mimi pia napendwa sana sana na Beatrice halafu siña muda nae, Kufika la Sita wote tukahama mikoa nimekuja kukutana na Angel wakati ana graduate chuo kikuu siku ya Graduation na Game akanipa bila Hiana niliforce game kwa vile utotoni kule hakukuwa na mishe za kula mzigo,Alitaka Kufall nkamuambia hapana Ntamtesa ya utoto yameisha nilikula mzigo siku tatu nonstop after all tumebaki as friends tu
 
Jamani nikiwa primary yule kijana alikuwa siwezi kufika shule asubuhi bila kwenda kumsalimia.Duu after primary kila mtu kivyake tumekuja kuunda grp la primary after 20yrs plus mtu wakwanza kumwulizia was him .

Nilisikitika nilivyoambiwa amepata stroke yupo tu kitandani sijawahi kudhubutu kwenda kumwona ila niliulizia anapokaa nikaambiwa nikawa napita nimwone siku moja nilimwona anafanya mazoezi barabarani huku amesaidiwa nilisimama sikuweza kusema chochote anyway nimeolewa nampenda mme wangu.Maisha nikitendawili
 
Richie W. aka Richie Richie ( huyu tulipendana wote hadi tunamaliza lasaba B ila wote tulikuwa tunanata hakuna aliyetaka kumsemesha mwenzake. Tukawa tukasalimiana tuu na kupeana tabasamu basi). Sekondari tulipangiwa shule jirani tukawa tunaonana njiani saa ya kutoka au asubuhi kuingia shule.... alipopangiwa Minaki tukapotezana mazima hadi leo. Nilifatilia post za A level shule yao nikajua kapangiwa Minaki.... crush ya primary ikaishia hapo.)

Nkundwe ....( huyu hakujua kama nilimzimikia ila sababu alikuwa handsome waschana wengi walikuwa wanamsonga.... sikumbuki vizuri kama alihama tukiwa lasaba B au baada ya hapo alihamia ughaibuni.

Baada ya hapo nikawa mkaksi hadi nilipoingia chuo ndo nikaanza mahanjam 😋.
 

Life is full of mysteries and uncertainties....
 
Life is full of mysteries and uncertainties....
Kwa kweli my dear .Ila bado nahisi nitaenda kumwona siku moja .Uzuri alikuwa anajua one of his friend aliniambia akiwa mzima aliniulizia ila sasa sidhani kama angeendelea kuwa my crush .Ninachisikitika ni maisha yake ya sasa tu
 
Uzuri ma crush wangu wote nao walikuwa wananipenda ila tunaogopana tu 😻
 
Nimekumbuka kuwa tabia niliyo nayo kwa sasa kuhusu mtazamo wa mahusiano kumbe ni tangu zamani, nakumbuka sikuwahi kuwa na crush primary. Najikubali msimamo wangu tangu utotoni.
Daahh Mimi niliwahi kuwaga na crush let me declare the truth .. katika maisha yangu sijawahi kupenda kwa kiwango kile tena Kama jinsi nilivyo wahi kumpenda yule binti Nyie mapenzi before ya kubakwa na majukumu + maumivu ya walimwengu Ni matamu sana acheni tu [emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…