Edson Eagle
Member
- Apr 20, 2024
- 30
- 12
Nilichojifunza ni kwambaHivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia?
Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂