Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

Edson Eagle

Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
30
Reaction score
12
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia?

Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
 
Nilichojifunza ni kwamba
kuna utapeli wa aina nyingi sana duniani
 
ety siwezi ishi bila wew,,,umbwa ile,,,ila nashukuru saiv inakonda balaa😄🙌🏾nahis mwili wake naufyonza mim, naelekea kuitwa kibonge.
 
Enzi hela zenyewe mpaka mwombe simu ya mkuu washule mpige kwawazazi ili mwombe na majeans yenu mapana hayoooo balaa
 
Back
Top Bottom