Uchaguzi 2020 Unamkumbuka Kasusura? Kaka yake atia nia Biharamulo

Uchaguzi 2020 Unamkumbuka Kasusura? Kaka yake atia nia Biharamulo

Hapa sijaelewa tatizo lipo kwa kabila lenyewe au tatizo ni aina ya viongozi wa eneo hilo?
 
Hivi hizi ni nini mnaleta humu? Watusi, waganda,wahaya, wasubi and whatever!
Sijui nani alibarikiwa kugombea na chifu gani wa wasubi! Who cares?
Bigoted idiots!
 
Imekuuma muhaya wewe
Hivi hizi ni nini mnaleta humu? Watusi, waganda,wahaya, wasubi and whatever!
Sijui nani alibarikiwa kugombea na chifu gani wa wasubi! Who cares?
Bigoted idiots!
 
Kwanini asiuze ofisi za Polisi kama amerithi wizi? Au kwanini asiuze ofisi za Halamashauri za Jiji la Mbeya? ACHA BANGI MKUU
Nimetolea mfano CCM tu hapo awali ,huyo kasusura anaweza kuuza hata nyumba yenu mkuu!!
 
Suala la wizi kila mTanzania ni fisadi akipata nafasi hakuna mzalendo hapa tuna uzalendo wa kuongea ila si katika uhalisia
Hapo umejibu nini? Unaulizwa alimsaidia vipi mtu aliyefungwa na kutumikia miaka 15, unaleta story za kipuuzi.
 
Tatizo ni mentality ya hao watu
Elimu duni
Uelewa mdogo
Sikushangaa mradi wa Tasaf ulivopata challenge kutokana na maiman ya Free Masn
Hii familia nawafahamu afadhali wao wataleta maendeleo kuliko Wahaya
Wahaya ni wabinafsi mno
(Ingawa hii familia nao wanadhani Biharamulo ni mali yao)
 
Back
Top Bottom