Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Mabaga Fresh wako wapi??
 
Fred zaganda.ni namna gani tutawin maishani mpaka siku tunasema buriani aaah ni jinsi gani
 
Ramsey Thomas a.k.a Eluka a.k.a Rah T
Gilbert Sanga a.k.a Gillbiz
Musa Mwaiposa a.k.a Chancellor Wise a.k.a Dr. Wise
Dr. Dreto wa Uswahilini Matola
Sunday Jackson a.k.a Sun Jacko
Cave Dwellers
Mastiff
Isanga family
 
Kwa ujumla zaman walikuwa watu wanaumiza kichwa, maaana ilikuwa ukitoa famba ni la kwako, sasa ili kutafuta ushindan ilibidi watu watulize kichwa na ndio maaana zile ngoma zilikuwa balaaaaa
 
Nakumbuka miaka ile top ten na nani mkali hasa RFA, watu walikuwa wanashindwa kufanya/kupiga kura mpka mtu anajikuta anapiga kura kotekote na kula hizo kuharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…