Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Kwangu Mimi ni wengi mno...nikitaja mmoja naona kama ninajipunja.

Hashimu dogo-"Nakuacha mweupe ka'mkorogo chata ka'wagogo"

Geez mabovu.-
"kuwa na Heshima ili uheshimiwe"

Hard blasters.
"Nusu peponi nusu kuzimu ilimladi siku ipite"

Inspecta haroun babu.
John Mjema.
Solo thang.
Langa.
Roho 7.
LWP majitu.
Deplowmatz.
Mabaga fresh.
Kwanza unit.
Madonjo & domokaya
Mabaga Fresh wako wapi??
 
Fred zaganda.ni namna gani tutawin maishani mpaka siku tunasema buriani aaah ni jinsi gani
 
Ramsey Thomas a.k.a Eluka a.k.a Rah T
Gilbert Sanga a.k.a Gillbiz
Musa Mwaiposa a.k.a Chancellor Wise a.k.a Dr. Wise
Dr. Dreto wa Uswahilini Matola
Sunday Jackson a.k.a Sun Jacko
Cave Dwellers
Mastiff
Isanga family
 
Kwa ujumla zaman walikuwa watu wanaumiza kichwa, maaana ilikuwa ukitoa famba ni la kwako, sasa ili kutafuta ushindan ilibidi watu watulize kichwa na ndio maaana zile ngoma zilikuwa balaaaaa
 
Nakumbuka miaka ile top ten na nani mkali hasa RFA, watu walikuwa wanashindwa kufanya/kupiga kura mpka mtu anajikuta anapiga kura kotekote na kula hizo kuharibika
 
Back
Top Bottom