Unamkumbuka legendary gani wa mziki wa bongo flavor.

Kali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)

Daaah jamaa alikuwa anaweza sana kwa aina yake ya muziki aliokuwa anafanya
 
Imamu Abbas kiongozi wa mitaa ya kati.
 
Mr.II -Sugu ...Professsor Jay-Bongo Dar es salaam...Mike T....na kibao Nampenda...Jay Mo...Maisha ya Boarding...Daz Baba -Wife
 
1.sugu
2.proff jay
3.wagosi wakaya
4.watuku2
5.mr ebbo
6.Daz nundaz
7.juma nature
8.solo thang
9.inspector haroun
10. Geez mabovu
11.xplasters
12.watengwa
13. Kali p,soggy doggy,lady jay dee,afande sele,master jay ,p funk majani,dany msimamo,dogo hamidu,mr nice,east coast team,tmk wanaume family,gangwe mobb,dully sykes,mike tee,mark d,university coner,Ray c,kwanza unit,Ay,mwanafalsafa,langa na wakilisha n.k.
 
Kali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora nirudi kijijini
 
Dully Sykes
Mike T mnyalu
J mo
Akili the brain
Ay
Mwanafa
dizain we si muhenga..Hawa wa juzi tu..kuna sos b wa mabii boo,nurueli..bora hata gk 97 alikwepo kwenye game na ngoma yake 'hii 97 twende polepole hee haba na haba hujaza kibaba panapo njia pana njia'..kuna dpt na 'Tanzania naipenda bila shaka..'..saleh jabir ndo hamumtaki kabisa!
 
hao wengine siwajui, nmemjua nurueli na gk
 
Kwanza unit, Gwm, Saigon, Mack Muga, Mr 2 aka Sugu, hao ndio legendary wengine wote wa juzi tu. Badae kidogo Mabaga fresh,dully Sykes, Jose Mtambo, Juma Nature, Gangwe Mobb, angalau kidogo hao wanajikongoja.
 
Dully Sykes
Mike T mnyalu
J mo
Akili the brain
Ay
Mwanafa
Ktk list yako mmoja nimesoma nae O level, mmoja A level, mwingine mshkaji wa Kitaa! Ajabu sijui hata kuandika mstari mmoja. Kuishi jirani na Mahakama sio kujua sheria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…