zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Nuruway Mzee wa mg'aro wa silva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)
Mike T...na ngoma nampendaaa...old is gold enzi muziki ukiwa muziki si sasa suruali miguun kelele tupuMike T mnyalu
J mo
Akili the brain
Ay
Mwanafa
Nimemsahau Dully Sykes huyu alitakiwa awe nambari waniMike T...na ngoma nampendaaa...old is gold enzi muziki ukiwa muziki si sasa suruali miguun kelele tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora nirudi kijijiniKali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)
dizain we si muhenga..Hawa wa juzi tu..kuna sos b wa mabii boo,nurueli..bora hata gk 97 alikwepo kwenye game na ngoma yake 'hii 97 twende polepole hee haba na haba hujaza kibaba panapo njia pana njia'..kuna dpt na 'Tanzania naipenda bila shaka..'..saleh jabir ndo hamumtaki kabisa!Dully Sykes
Mike T mnyalu
J mo
Akili the brain
Ay
Mwanafa
hao wengine siwajui, nmemjua nurueli na gkdizain we si muhenga..Hawa wa juzi tu..kuna sos b wa mabii boo,nurueli..bora hata gk 97 alikwepo kwenye game na ngoma yake 'hii 97 twende polepole hee haba na haba hujaza kibaba panapo njia pana njia'..kuna dpt na 'Tanzania naipenda bila shaka..'..saleh jabir ndo hamumtaki kabisa!
Daz baba.Dah uyu jamaa bila unga kumuharibu ila kuimba yuko vizuri.kipindi cha daz nundaz kibao kama cha kamanda ,barua.
Huyu jamaa nadhani alikuwa kiboko ya wote ila basi tuDaz baba.Dah uyu jamaa bila unga kumuharibu ila kuimba yuko vizuri.kipindi cha daz nundaz kibao kama cha kamanda ,barua.
voice wounder jamaa alikuwa na sauti nzuri
Ktk list yako mmoja nimesoma nae O level, mmoja A level, mwingine mshkaji wa Kitaa! Ajabu sijui hata kuandika mstari mmoja. Kuishi jirani na Mahakama sio kujua sheria!Dully Sykes
Mike T mnyalu
J mo
Akili the brain
Ay
Mwanafa