Huyu siku hizi ni hamsa-swalat; Amemgeukia Mola wake, tangu 2002! Wakati anaacha mziki, alikuwa na albam ya 3 mkononi, akaikataa kuipeleka sokoni!Kali p.imekaa vibaya.nilikua nafikiri kazi ya polisi ni yangu peke yangu.na nikifa ntakufa na magwanda yangu,pilauni yangu na pingu zangu,kumbe nilikua najidanganya.afande cha pombe(in Kali p voice)
Wengi walimfahamu kama RafaelAsante kwa sahihisho.watu wengi sana hawajui mpaka Leo jina la jamaa ingawa nyimbo ilikua maarufu sana.akatoa nyingine Kilimanjaro kilimanjarooo ni mlima mrefu(in chaganian voice)
voice wounder jamaa alikuwa na sauti nzuri
DuhHuyu siku hizi ni hamsa-swalat; Amemgeukia Mola wake, tangu 2002! Wakati anaacha mziki, alikuwa na albam ya 3 mkononi, akaikataa kuipeleka sokoni!
Ongeza hapoKwangu Mimi ni wengi mno...nikitaja mmoja naona kama ninajipunja.
Hashimu dogo-"Nakuacha mweupe ka'mkorogo chata ka'wagogo"
Geez mabovu.-
"kuwa na Heshima ili uheshimiwe"
Hard blasters.
"Nusu peponi nusu kuzimu ilimladi siku ipite"
Inspecta haroun babu.
John Mjema.
Solo thang.
Langa.
Roho 7.
LWP majitu.
Deplowmatz.
Mabaga fresh.
Kwanza unit.
Madonjo & domokaya
Masawe alikuiepoooWengi walimfahamu kama Rafael