Nikiikumbuka suraa yaaakeeee najioneaa kasheesheee(kata simu tuko site), alaaa alaaaa dear eeexiiiii[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nmekutana nae leo kachoka kachakaa kawa kimbilio la wazee na kipozeo cha madomo zege[emoji23].
Nkikumbuka kile kidada kiliniendesha kama bwege, nlkuwa napiga miles za kutosha kukifuata kila jioni baada ya masomo, ama hata kutoroka vipindi ili tu nikione tulikuwa tunapishana vipindi.
Nikikumbuka zaidi ni zile barua tulikuwa tunaandikiana na kuzificha katikati ya madaftari then tunabadirishana madaftari yenye jumbe/barua bila mtu yeyote kujua[emoji23][emoji23](old messaging styl).
Mwisho wetu haukuwa mzuri[emoji23][emoji23] baada ya mwehu yule kujifanya mjuaji sana
View attachment 2363065