mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Na wana maji ya hatari, ukute me anayejua namna ya kuyatoa ohoooooooo......godoro ni chapachapaAiseeehhh!![emoji848][emoji848]!! Heko kwaooo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wana maji ya hatari, ukute me anayejua namna ya kuyatoa ohoooooooo......godoro ni chapachapaAiseeehhh!![emoji848][emoji848]!! Heko kwaooo!!
Huyo ndie mwanaume anayeweza kukoa na kuwa na highest degree of responsibility na wewe. Ajabu wanawake wengi huwa hamuwaelewi matokeo yake mna fall kwa matapeli.Wa kuitwa Godfrey, yule kaka alinipenda sana nikiri hadi ukubwani hakuna mwanaume alieonesha upendo kwangu kama yeye shida mimi sikumpenda kihivyo sijuagi ni utoto ama nini. Alikua ananisaidia sana kwenye kusoma mana kichwani alikua njema , namkumbuka sana kwa upendo wake na namna alivyokua ananijali.
Too sad [emoji20].Nilimtongoza akasema vipi baba yake akijua, nikaogopa ila siku hiyo usiku nikatafakari kumbe sio kwamba hanipendi ila tu anamuogopa baba yake. Kesho yake nikamwambia iwe siri baba hatojua, alikuwa mchungaji na yuko board ya shule. Nikajilipua tukapendana sana ila tukashindwa kuishi kwa siri. Ila mama yake alikuwa ananikubali, na nilikuwa naenda sana kwao nikiamini hawajui.
Alifariki nikiwa 1st year chuo
Mimi Sasa ndio nilikuwa nawaogopa tu mademu japo wengi walionesha kunipenda sijui ule woga ulitoka wapi.Mimi niliishia kutongozwa na vibinti kuanzia form nyoya hadi five, sema nilijiona kuwa mimi ndo Isack Newton, jiniazi wa majiniazi nisiejua mapenzi, leo natamani siku zirudi nyuma
😂😂😂wew kibokoLa Saba kote huko?! Nikiwa darasa la sita uncle wangu mmoja alikuwa mtu wa skirt balaa, siku hiyo akaja na wanawake wawili geto kwake kuna booonge moja la kitanda na godoro (uncle alikuwa fundi seremala) akaingia nao geto pale akanikabidhi mmoja naye akabaki na wake wakaanza kutiana.
Mimi naogopa ogopa pale, basi yule mwanamke akavua nguo zake akanivua na Mimi ananishikisha manyonyo yake kaubour kamenisimama wima ova kanang'oka, tatizo alipokuja kunishikusha kule chini kwake nikashika mavuzzzi ...... Niliogopa nilitoka mbio za hatari...
Asubuhi kulipopambazuka wale wanawake wakaondoka , uncle akanipa shule ....acha nianze kudandia viuno vya mademu .... Nikiwa darasa la Saba nilimkula mwalimu wangu kwa ushawishi wake yeye ,mbeleni akaja kuniambia ilikuwa akiingia darasani nikimtazama machoni anahisi namtongoza ( kiaje?) Sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
mKuu Punguza makasiriko [emoji23].Wewe uliyenichukulia demu wangu niliyekuwa nampenda kabisa kipindi tupo sekondari kisa ulikuwa kiranja wa Chakula, maisha yanaendaje hapo GHALA LA VYAKULA LA TAIFA[emoji35][emoji35][emoji35]
Vipi lakini ulimpa tunda mwanetu? Maana alikupambania sana unajua hadi alifukuzwa shule!!1. Alinilipia deni la vitabu viwili vilivyoibiwa nikiwa kidato cha pili mwezi wa 11 bila ya mimi kumfahamu. Nikiwa kidato cha tatu niliibiwa begi na vitabu ndani yake, wakati nimefikishwa staff natishiwa adhabu, alikuja na vitabu vipya viwili na kumkabidhi yule mwalimu. Mwalimu akamuuliza, "Tena! Unamlipia deni kwa mara nyingine! Kwani wewe na huyu ni ndugu?". Kesi ikaishia hapo. Wiki moja baadae alinifungukia, japo alikuwa anatetemeka na kutokwa jasho jingi huku akimung'unya maneno[emoji23][emoji23]
2. Kuna kipindi nilichelewa kufika shuleni kwenye zamu ya yule mwalimu aliyekosana na mkewe[emoji23][emoji23] Akanipatia adhabu ya kufanya usafi ofisi ya taaluma baada ya muda wa vipindi. Huyu kaka alinambia nikapumzike mahali, yeye atafanya peke yake. Na kweli alisafisha vyema mpaka walimu wakanisifia kesho yake
3. Kuna mwalimu mmoja hivi wa kiume alikuwa ni zoazoa, anatumia nafasi yake kulazimisha ngono. Baada ya kuona napingana nae alianza kunipatia adhabu za hapa na pale na vipigo. Kuna siku kanikata kibao cha nguvu darasani bila kosa, huyo kaka kainuka pale na kumpatia kipigo maskini[emoji23] mpaka mdomo wa yule mwalimu mshnz ukapasuka vipande viwili kama pazia la hekalu[emoji23] Akafukuzwa shule kwa kunitetea mimi
Nimeyakumbuka haya yote baada ya kukutana na profile yenye picha yake kwa mtandao wa facebook
We unamkumbuka yupi kwa yapi?
Hii kali 🤣🤣🤣Alikuwa anapenda kunitembeza kwenye mvua,natetemeka njia nzima navyorudi nyumbani.Eti mapenzi ya kihindi🙄😏
Ulikuwa serious na masomo au domo zege?Ambao hatukua na wapenzi tuna comment wapi
Nyie mtakuwa watoto wa siku hizi😃. Form two ya zamani jitu lina miaka 18.Chai Tena 😂😂😂Kuna mtu alisema kaanza kujichua na washkaji zake wakiwa la Saba🤣 unashangaa form 2
Mtafute huyo ndo anafaa kuwa mumeoWa kuitwa Godfrey, yule kaka alinipenda sana nikiri hadi ukubwani hakuna mwanaume alieonesha upendo kwangu kama yeye shida mimi sikumpenda kihivyo sijuagi ni utoto ama nini. Alikua ananisaidia sana kwenye kusoma mana kichwani alikua njema , namkumbuka sana kwa upendo wake na namna alivyokua ananijali.
Fundi mkuuNyie mtakuwa watoto wa siku hizi[emoji2]. Form two ya zamani jitu lina miaka 18.
Halafu kujichua inaanzaga kipindi cha balehe
Huko shuleni sikuona sababu ya kuwa naye maana ilikua day school, baada ya kuhangaika na maisha tukikutana tunaongea kikubwaUlikuwa serious na masomo au domo zege?
SawaHuko shuleni sikuona sababu ya kuwa naye maana ilikua day school, baada ya kuhangaika na maisha tukikutana tunaongea kikubwa
Inategemea na mtu mkuu, mfano mimi nikiwa darasa la kwanza nikiwa na miaka 7 ndio nilianza kuwala,Nikifikiria form 2 nilivyokuwa mdogo kiumbo na kiakili hii yako naona CHAI.