Unamkumbuka Mussa Simba aka Black Moses: Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo

Pia kulikuwa na MARSHA YAHAYA HUSEIN....jamaa alikuwa wanachuana sana BREAK DANCE....walikuwa wakikutana ni balaa,,,waliteleza zile style za akina BUGA LUU na SHABA DUU ,,,zamani ndy watu walikuwa wanacheza DANCE,,, siku hizi MWANAMKE,,MWANAUME wote wanacheza style MOJA ,,,kutingisha MABEGA kama MTU Kashikwa na DEGEDEGE..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Um
Umemsahau Mtoto jobiso
 
Wahenga tunajuana
 
Mpinzani mkubwa wa Black mosea alikuwa ni bosco l coo j walikuwa wakikutana moto ulikuwa unawaka, enzi hizo kuna jamaa aliitwa maganga au michael jackson

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika sana...kuna kizazi kimepita bila kupata records zao video....kama hawa jamaa.....sijui tutatoa wp ni hasara sana
 
Kama una picha ya Saleh Jabir tafadhali
 
Um
Umemsahau Mtoto jobiso
Enzi za Black moses hakuwepo mtoto jobiso wala baba yake King jobiso na jobiso alikuwa anachezea bolingo Black moses alikuwa anacheza ngoma za mbele upande wa bolingo enzi za Black moses kulikuwa na wakina Prince max, max huyu aliyekuwa muigizaji kaole, athuman mitikasi(r. I. P) 'aurus kabwe, ... Enzi za Black moses ilikuwa hatari unaomba usiku usiishe haaa haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yawezekana we mwenzangu mhengaa zaidi
 
Ahsante sana kwa mkuu kwa kutukumbusha wakati nchi ina adabu na heshima,vipaji hivi vya vijana hawa as a country we let them down,kulikuwa hakuna mfumo wa kuwaendeleza na kilichotokea watu wajanja wakawa wana make money out of them ,shame on them na mbaya zaidi mwisho wao wengi haukuwa mzuri,Black Moses (commit suicide)why hakuna aliyejishughulisha,hapo juu mkuu Fulani kutuambia Super Ngedere kawa mtu wa kuomba omba,na mbaya zaidi Bosco Cool JJ alifariki kifo cha mateso sana pale cape town(SA)na kama walivyo mabolozi wetu nje hawana mpango kabisa kinachotokea kwa raia wetu kwenye nchi wanazotuwakilisha na kesi yake imekuwa ni cold case;but anyway nimeishi maisha safi safi ndani ya nchi yangu kipindi hicho ila yanayotokea kwa sasa tuombeane heri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…