amanzi30
Senior Member
- Feb 20, 2016
- 108
- 54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu ameniambia ana mkanda wa VHS wa mashindano flani ya disco yalifanyika pale magomeni Kota(ccm ndugumbi) kulikuwa kuna ukumbi mkubwa sana wa Disco wale watu wa zamani kama mimi mtakumbuka SWEET CORNER DISCO TEQ ndani ya huo mkanda jamaa anakutana fainali na mtu mmoja anaitwa BOSCO COOL J noma sana nataka nikiupata nitaubadirisha kuja kwenye mp4 alafu nitaweka hapa muone huyo mtu alivyokuwa na kipaji cha aina yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha Masha Yahya Hussein binti wa marehemu Shekhe Yahya Hussein? Huyu mama mwajiriwa wa Tantrade.Pia kulikuwa na MARSHA YAHAYA HUSEIN....jamaa alikuwa wanachuana sana BREAK DANCE....walikuwa wakikutana ni balaa,,,waliteleza zile style za akina BUGA LUU na SHABA DUU ,,,zamani ndy watu walikuwa wanacheza DANCE,,, siku hizi MWANAMKE,,MWANAUME wote wanacheza style MOJA ,,,kutingisha MABEGA kama MTU Kashikwa na DEGEDEGE..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mussa Simba aka Black Moses alifariki kwa ugonjwa wa kipindupindu......hakujiua kama inavyopotoshwa na wajumbe wengine hummuKwa ufahamu wangu Black Moses kifo chake kilisababishwa na ugonjwa wa kipindupindu sio kama tunavyofahamishwa kwamba alijiua
Mkuu tafadhali naomba hata hela nipo tayari kukupa.... lkn pia nilikuwa nahitaji na video ya black moses... mwenye nayo pls anichekiKuna mtu ameniambia ana mkanda wa VHS wa mashindano flani ya disco yalifanyika pale magomeni Kota(ccm ndugumbi) kulikuwa kuna ukumbi mkubwa sana wa Disco wale watu wa zamani kama mimi mtakumbuka SWEET CORNER DISCO TEQ ndani ya huo mkanda jamaa anakutana fainali na mtu mmoja anaitwa BOSCO COOL J noma sana nataka nikiupata nitaubadirisha kuja kwenye mp4 alafu nitaweka hapa muone huyo mtu alivyokuwa na kipaji cha aina yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Lang'ata social hall, dahNilimuonaga kitambo hapo langata enzi hizo ilikuwa kuna mashindano ya break dance
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo #ishara ya heshima kwako#Digadiga aliitwa Double D
😂😂😂Enzi hiyo Magu hajaingiamjini bado, Bashite ndo kwanza kaacha kunyonya.
Marahaba kwa heshima yakoShikamoo #ishara ya heshima kwako#
Akivaa mashati ya kung'aa na akiweka karikiti kwenye nyweleAnaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye ramani jamaa alikuwa Hana mpinzani
Jamaa baada ya kuwa maarufu kupitiliza aliamua kujiingiza kwenye madawa ya kulevya miaka hiyo na baada ya madawa kumtawala sana ulitokea ugomvi Kati yake na baba yake mzazi mzee SIMBA nyumbani kwao magomeni mapipa na MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES aliamua kujiua
R. I. P KING BLACK MOSES View attachment 851604
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bugs luu na shaba duu walikuwa wa nchi gani niliona video yao miaka yakati ya 1988 na 1990 sijaziona tena hizo video hata Niki google sizipati Kwa anayejua zinapatikana wapi atuambiePia kulikuwa na MARSHA YAHAYA HUSEIN....jamaa alikuwa wanachuana sana BREAK DANCE....walikuwa wakikutana ni balaa,,,waliteleza zile style za akina BUGA LUU na SHABA DUU ,,,zamani ndy watu walikuwa wanacheza DANCE,,, siku hizi MWANAMKE,,MWANAUME wote wanacheza style MOJA ,,,kutingisha MABEGA kama MTU Kashikwa na DEGEDEGE..
Sent using Jamii Forums mobile app