Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Huyo huyo Ally Hemed a.k.a Reagan mdigo aliyeendelea.
Ulimaliza lini Jumuiya?
Tuanze grupu letu tukiwakumbuka kina Ndeya, Manyiri, Mhina mzee, Mhina mchafu, Mwinjage.
Hapana sijawahi kusoma Jumuiya lakini tulikuwa tunafahamiana.

Lakini yule siyo mdigo, alikuwa mbondei
 
Mwalimu Sindaguru, Musoma huko late 90's.


Ni vigumu sana kumkuta mtu aliesoma chekechea miaka ya tisini hajui kuandika. Ilikua ni mwaka mmoja tu, tayari unakua fundi kusoma na kuandika!
Huyu mama alinifundisha pia nilikuwa nasoma ili Nami nimpost umeniwahi
 
KUNA NGUVU KUBWA INATUMIKA KUWASEMEA MEMA WALIMU.


KATAA UALIMU HAUFAIII NI KADA YA HOVYOHOVYO

ooh Mama yangu ametusomesha kwa kibarua chake cha ualimu watoto tano wote Mungu ametujalia tumefika mahala. Namshukuru sana Mungu[emoji1545]
 
ooh Mama yangu ametusomesha kwa kibarua chake cha ualimu watoto tano wote Mungu ametujalia tumefika mahala. Namshukuru sana Mungu[emoji1545]

Sikusoma shule aliyokua anafundiaha mama yangu,
Katika shule niliyosoma namkumbuka mwalimu NGOWI SOKOINE PRIMARY MOSHI, alituasa sana kuhusu maisha, namnukuu" someni watoto huu wakati mtaukumbuka, maisha yako yapo mikononi mwako soma mtoto" Alikua anaongea mpaka anataka kulia. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani, Amina[emoji1545] miaka inakimbia sana jamani nikijaribu kuwaza naona kama nilisoma zama za kale., kumbe ni miaka ya elfu mbili naa tu
 
Back
Top Bottom