Unamkumbuka nani katika kikosi hiki?

Unamkumbuka nani katika kikosi hiki?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ukiacha "talisman" Zinedine Zidane, nani mwingine unamkumbuka toka katika picha hii ya mastaa wa Ufaransa waliotwaa ubingwa wa dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998.
Zinedine-Zidane-France-World-Cup-trophy-98.jpg

Cc:
Guasa Amboni
 
Laurent Blanc, ila Emmanuel " super manu" Petit mfungaji wa goli la 3 simuoni
 
Back
Top Bottom