Habarini wana jf, natumai niwazima.
Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke pekee aliefanya muziki kipindi kile na kuvuma sana.
Nasikiaga alikuja bongo kupiga shoo naomba watu walio kuwepo au kusikia stori zake jamani, tusimuliane.
Kwa ufupi i still admire her.
Nawasilisha.
Yupo Paris, huyu kiasili mzazi wake mmoja ni Mbelgiji! Haumwi yuko hai. Siku moja Zubeir Msabaha wa Radio Free Afrika alifanya nae mahojiano mwishoni mwa 2013, akasema wapo na bado wanafanya Muziki ila siyo kwa sana. Akasema wengi wa Magwiji wa ile Soukouss Stars hawako pamoja tena, ila kama wanne watano hivi huwa wanajimobilize mara chache akiwemo Balou Canta, Ngouma Lokito kutaja wachache. Akasema kwa wapezi wao wa Afrika Mashariki, wakipata mwaliko watakuja. Alipoulizwa kuhusu yeye kuwa anaweza kuongea Kiswahili akasema: "kidogo". Ikumbukwe wengi wa Wakongo wa Eastern Congo kama JB M'Piana, Yondo Sister wanajua Kiswahili kwa kiasi kwani wako karibu na ukanda huu wa kiswahili. Zubeir Msabaha wa RFA kama angekuwemo humu angetusaidia kumuhusu huyu Kusala Yondo ( Yondo Sister). Nakumbuka nyimbo kama: Derniere Minute, Madi, Africa, Maweke, Bazo, Wapi Yo, Jo, Mbuta Mutu, na zile alizoshiriki kuimba au kunengua akiwa na Soukouss Stars kama: Sophia, Rosie, Morenita,Abagimo n.k!
Asante kwa maelezo mazuri, halafu hawa wanamuziki wengi wa kikongo wanapendelea maisha ya Paris cjui kwa nn.
Mwanzilishi wa kujichubuwa ametia hasara ngozi za watu sana
https://fr-fr.facebook.com/pages/Yondo-Sister-Official/537247286287061Habarini wana jf, natumai niwazima.