Unamkumbuka Yondo sister?

Unamkumbuka Yondo sister?

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Habarini wana jf, natumai niwazima.

Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke pekee aliefanya muziki kipindi kile na kuvuma sana.

Nasikiaga alikuja bongo kupiga shoo naomba watu walio kuwepo au kusikia stori zake jamani, tusimuliane.

Kwa ufupi i still admire her.

Nawasilisha.
 
ni kweli yondo sister alikuwa wa tofauti kuna mkongo mmoja niliwai kuuuliza akiwa kwenye salon yake moja akadai eti anaumwa kiuno bada ya kuvunjika mfupa vile yeye pendaga sana katika!!kumbuka veve?
 
Alitikisa enzi zake nakumbuka mpaka kukawa na fasheni za viatu na nguo vinaitwa yondo
 
Habarini wana jf, natumai niwazima.

Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke pekee aliefanya muziki kipindi kile na kuvuma sana.

Nasikiaga alikuja bongo kupiga shoo naomba watu walio kuwepo au kusikia stori zake jamani, tusimuliane.

Kwa ufupi i still admire her.

Nawasilisha.

Yupo Paris, huyu kiasili mzazi wake mmoja ni Mbelgiji! Haumwi yuko hai. Siku moja Zubeir Msabaha wa Radio Free Afrika alifanya nae mahojiano mwishoni mwa 2013, akasema wapo na bado wanafanya Muziki ila siyo kwa sana. Akasema wengi wa Magwiji wa ile Soukouss Stars hawako pamoja tena, ila kama wanne watano hivi huwa wanajimobilize mara chache akiwemo Balou Canta, Ngouma Lokito kutaja wachache. Akasema kwa wapezi wao wa Afrika Mashariki, wakipata mwaliko watakuja. Alipoulizwa kuhusu yeye kuwa anaweza kuongea Kiswahili akasema: "kidogo". Ikumbukwe wengi wa Wakongo wa Eastern Congo kama JB M'Piana, Yondo Sister wanajua Kiswahili kwa kiasi kwani wako karibu na ukanda huu wa kiswahili. Zubeir Msabaha wa RFA kama angekuwemo humu angetusaidia kumuhusu huyu Kusala Yondo ( Yondo Sister). Nakumbuka nyimbo kama: Derniere Minute, Madi, Africa, Maweke, Bazo, Wapi Yo, Jo, Mbuta Mutu, na zile alizoshiriki kuimba au kunengua akiwa na Soukouss Stars kama: Sophia, Rosie, Morenita,Abagimo n.k!
 
Halafu kuna ainafulani ya jinsi mtoboko alivaa enzi hizo na zikawa fasheni jana tu, alikuwa ni funiko ati.
 
Yupo Paris, huyu kiasili mzazi wake mmoja ni Mbelgiji! Haumwi yuko hai. Siku moja Zubeir Msabaha wa Radio Free Afrika alifanya nae mahojiano mwishoni mwa 2013, akasema wapo na bado wanafanya Muziki ila siyo kwa sana. Akasema wengi wa Magwiji wa ile Soukouss Stars hawako pamoja tena, ila kama wanne watano hivi huwa wanajimobilize mara chache akiwemo Balou Canta, Ngouma Lokito kutaja wachache. Akasema kwa wapezi wao wa Afrika Mashariki, wakipata mwaliko watakuja. Alipoulizwa kuhusu yeye kuwa anaweza kuongea Kiswahili akasema: "kidogo". Ikumbukwe wengi wa Wakongo wa Eastern Congo kama JB M'Piana, Yondo Sister wanajua Kiswahili kwa kiasi kwani wako karibu na ukanda huu wa kiswahili. Zubeir Msabaha wa RFA kama angekuwemo humu angetusaidia kumuhusu huyu Kusala Yondo ( Yondo Sister). Nakumbuka nyimbo kama: Derniere Minute, Madi, Africa, Maweke, Bazo, Wapi Yo, Jo, Mbuta Mutu, na zile alizoshiriki kuimba au kunengua akiwa na Soukouss Stars kama: Sophia, Rosie, Morenita,Abagimo n.k!

Asante kwa maelezo mazuri, halafu hawa wanamuziki wengi wa kikongo wanapendelea maisha ya Paris cjui kwa nn.
 
Sababu kuu ni moja tu, nchi zote ambazo zilitawaliwa na Ufaransa , raia wake hawawekewi Masharti magumu kuingia na hata kuishi Ufaransa na ikibidi hata kupewa uraia. Tofauti na sisi tulio tawaliwa na Wajerumani na hata Waingereza ni bure kabisa, hawana msaada wa kimasharti angalau kulegeza kidogo. Ila lawama kuu kwa Wafaransa ni kuwa nchi zote za Afrika ambazo alizitawala ni vurugu na vita visivyoisha.
 
Mwanzilishi wa kujichubuwa ametia hasara ngozi za watu sana
 
Mbuta Nanga napenda ule wimbo wa Rozie ehee Roziee ningekuwa na pesa ningeishi juu karibu na mwezi kwasababu watu wasituuzi oh mamaaaa rozie ehee roziii noma longtym sana 90's
 
Habarini wana jf, natumai niwazima.

Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke pekee aliefanya muziki kipindi kile na kuvuma sana.

Nasikiaga alikuja bongo kupiga shoo naomba watu walio kuwepo au kusikia stori zake jamani, tusimuliane.

Kwa ufupi i still admire her.

Nawasilisha.
https://fr-fr.facebook.com/pages/Yondo-Sister-Official/537247286287061
news_byondo-sister250.jpg

981848_657141220964333_1251822215_o.jpg
 
C kwamba ulickiaga kaja.ndio alikuja tena akashukia kwangu mana mi nae ni mtu na dada ake sema tumeshea baba tu.
 
Back
Top Bottom