Unampakia vumbi la Congo mwanamke (demu) jua na mama aliyekuzaa ni mwanamke

Unampakia vumbi la Congo mwanamke (demu) jua na mama aliyekuzaa ni mwanamke

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Mwanaume Ukikumbuka kuwa mama yako ni mwanamke hautofanya tendo la ngono kwa lengo kumtesa au kumkomoa mwanamke unayeshiriki nae!
 
Mlevi mmoja anasema ukitaka kusikia rahaa ya bia kunywa kreti.
Mrafi mmoja anasema ukitaka kushiba vizuri kula chakula tani yako
 
kama kanichuna sana, mkongo haukwepeki

kama kanipa bure, wala sina shida, kimoja ndani ya dk5 na usingizi mnono

chaguo ni lake
 
Wanawake huwa na tabia ya kumdharau Mwanaume ambaye hajitumi.

Ila kuna mmoja alirudisha mahari😁
 
Mkuu umejuaje wanataka kuwakomoa wanawake na siyo kujisaidia wao wenyewe....acha kuja na cheap conclusions..
Kuna kauli zetu za kishujaa, utasikia nilimpelekea moto, nimechakata mbususu [emoji23][emoji23][emoji23] zinaashiria kukomoa
 
Mwanaume Ukikumbuka kuwa mama yako ni mwanamke hautofanya tendo la ngono kwa lengo kumtesa au kumkomoa mwanamke unayeshiriki nae!

Hivi wanafanyaga vya kukomoa kumbe!!
Sasa hapo nani anayekomoka🤔
 
Mwanaume Ukikumbuka kuwa mama yako ni mwanamke hautofanya tendo la ngono kwa lengo kumtesa au kumkomoa mwanamke unayeshiriki nae!
Hapa sasa umekosea ndugu. Mambo haya ni complex, hakuna jibu ama mtazamo mmoja. Utashangaa kuna mwanamke ndo anataka mtu apake vumbi hilo sasa. Halafu, nani kwakwambia kutumia hiyo kitu ni kumtesa mwanamke? Una takwimu labda ya wanawake wenye malalamiko ya hivyo? Kutaja mama unadhani ndo tutaogopa? Hata wao ni binadamu na wao wapo wanahitaji hilo vumbi pia.

Tuonye kwa mengine, labda masuala ya kiafya hivi na yafananayo kama yapo

Hallelujah
 
Kuna kauli zetu za kishujaa, utasikia nilimpelekea moto, nimechakata mbususu [emoji23][emoji23][emoji23] zinaashiria kukomoa
Swaga hizo, ni kama mpira wa yanga unachezwa sana mdomoni na kwenye magazeti ila uwanjani chalii.....kama unapeleka moto piga kimya hakuna haja ya kufanya matangazo, mpira utaonekana uwanjani mithili ya mnyama ambaye hana maneno mengi ila utaona tu anavyolamba ubingwa mfululizo....
 
Back
Top Bottom