Ni ngumu kuwatambua hao, wanapenda kutumia weakness za wanaume kwa maslahi ya kibinafsi na siyo maslahi ya kujenga mutual interests katika mahusiano........vinginevyo wataishia kutengeza migogoro isiyo na kichwa wala miguu na mwishowe kulalamika kwa ndugu na wanajamii wengine ili wanaume waonekane wakosaji au wakorofi.Tafuta ambae hana wenge
Vinginevyo utateseka sana