Ni ngumu kuwatambua hao, wanapenda kutumia weakness za wanaume kwa maslahi ya kibinafsi na siyo maslahi ya kujenga mutual interests katika mahusiano........vinginevyo wataishia kutengeza migogoro isiyo na kichwa wala miguu na mwishowe kulalamika kwa ndugu na wanajamii wengine ili wanaume waonekane wakosaji au wakorofi.Tafuta ambae hana wenge
Vinginevyo utateseka sana
Baada ya harusi bibi harusi akapigiwa Viagra na vumbi la Kongo kila siku na mimba iliingia ndani ya mweziNini kilitumika, vumbi la mkongo, au?
Duh! jamaa hadi akasababisha abortion, siamini performance ya jamaa kama inategemea viagra au mkongo, inawezekana yupo fiti kiasili....maana wanadai hayo madude yanaweza kuua kabisa performance baada ya muda fulani....Baada ya harusi bibi harusi akapigiwa Viagra na vumbi la Kongo kila siku na mimba iliingia ndani ya mwezi
Mambo yakaendelea mimba ikatoka Mama Mkwe akaitwa akaleta za kuletwa akaambiwa rudisheni Mahari talaka haitolewi hapa ilibidi Mahari ikusanywe hahaa huyo jamaa mpaka leo yupo ameanza kula mashudu kwa kiwakomoa mabaamedi.
π π πHapa sasa umekosea ndugu. Mambo haya ni complex, hakuna jibu ama mtazamo mmoja. Utashangaa kuna mwanamke ndo anataka mtu apake vumbi hilo sasa. Halafu, nani kwakwambia kutumia hiyo kitu ni kumtesa mwanamke? Una takwimu labda ya wanawake wenye malalamiko ya hivyo? Kutaja mama unadhani ndo tutaogopa? Hata wao ni binadamu na wao wapo wanahitaji hilo vumbi pia.
Tuonye kwa mengine, labda masuala ya kiafya hivi na yafananayo kama yapo
Hallelujah
Jamaa alikuwa fiti ila alikuwa lakini alipenda tu kubusti kwamba Wanawake wanamlia pesa zake.Duh! jamaa hadi akasababisha abortion, siamini performance ya jamaa kama inategemea viagra au mkongo, inawezekana yupo fiti kiasili....maana wanadai hayo madude yanaweza kuua kabisa performance baada ya muda fulani....
Apo chachaHivi wanafanyaga vya kukomoa kumbe!!
Sasa hapo nani anayekomoka[emoji848]
Huko ni kujitesa mwenyewe, mwaga mzigo andoka kapumzikeApo chacha
Wakati huwezi shindana na hiyo kitu inayotoa kichwa ya mtoto