MwanaumeWewe Ni jinsia gani
Wewe hua hauwapakii wake za watu mkongo/mwafya/kisongo power/mundende?Mwanaume
Nani mjinga hapo?Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa,ni dhulma mbaya sana,ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.
Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu! Jamani jamani..halafu kubwa zaidi wengi wanatembelea rim.
Mungu atausaidie Sana wanaume..kama Una hizo habari tubu Kwa Mungu wako na uache kabisa..
Oyaa๐Achana na mkongo kuna kitu inaitwa viksi hiyo ni saa 72 au siku tatu net .
Wapakie wapakieee๐Mkongo umerudi tena?
Na ukishapaka mkongo kama ana Moto lazima ubaki nao๐Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa,ni dhulma mbaya sana,ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.
Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu! Jamani jamani..halafu kubwa zaidi wengi wanatembelea rim.
Mungu atausaidie Sana wanaume..kama Una hizo habari tubu Kwa Mungu wako na uache kabisa..
Ni kamzozo ๐๐๐Oyaa๐
Tupunguze ufundi Kwa wake za watu.Nani mjinga hapo?
Nikimtongoza mkeo akanikubalia... tatizo la nani hapo? mfunze mkeo kuwa responsible
Hata ukiyawaza hayo mambo makubwa hapa bongo hutoboi ni kazi bure vijana wamejikatia tamaa ila maisha lazima yaendelee ndio hichi sasa mikongo na mingine mingine..Ndio mawazo ya vijana wetu wa kitanzania.
Hakuna umasikini Mbaya kama umasikini wa Fikra.
JK Nyerere.
Vijana WA kichina Russia Islael.
Wanawaza Mambo makubwa Mno.
Technologia kubwa Sana.
HII NI LAANA.
Kuna wadau maskani walikuja wakibishana..mmoja anajisifu kwamba kafanya hivyoMtoa mada mke wako kapakiwa mkongo Nini?
Uko sahihi,sasa hawa wamekaa sehemu wanajisifu kufanya laana kama hii..Ndio mawazo ya vijana wetu wa kitanzania.
Hakuna umasikini Mbaya kama umasikini wa Fikra.
JK Nyerere.
Vijana WA kichina ,Russia ,Islael.
Wanawaza Mambo makubwa sana.
Technologia.
Sciance.
Tafiti nk
Vijana wetu wanawaza mkongo, topo, DAWASCO, uvinza nk
HII NI LAANA.
Shwine.
Niwapakie wakina nani tena[emoji3]Wapakie wapakieee[emoji28]