Unampakiaje mkongo mke wa mtu?

Unampakiaje mkongo mke wa mtu?

Futuza

Senior Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
127
Reaction score
515
Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa, ni dhulma mbaya sana, ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.

Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu. Jamani jamani, halafu kubwa zaidi wengi wanatembelea rim.

Mungu atausaidie Sana wanaume, kama una hizo habari tubu Kwa Mungu wako na uache kabisa.
 
Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa,ni dhulma mbaya sana,ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.

Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu! Jamani jamani..halafu kubwa zaidi wengi wanatembelea rim.

Mungu atausaidie Sana wanaume..kama Una hizo habari tubu Kwa Mungu wako na uache kabisa..
Nani mjinga hapo?

Nikimtongoza mkeo akanikubalia... tatizo la nani hapo? mfunze mkeo kuwa responsible
 
Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa,ni dhulma mbaya sana,ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.

Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu! Jamani jamani..halafu kubwa zaidi wengi wanatembelea rim.

Mungu atausaidie Sana wanaume..kama Una hizo habari tubu Kwa Mungu wako na uache kabisa..
Na ukishapaka mkongo kama ana Moto lazima ubaki nao🙄
 
Ndio mawazo ya vijana wetu wa kitanzania.

Hakuna umasikini Mbaya kama umasikini wa Fikra.
JK Nyerere.

Vijana WA kichina ,Russia ,Islael.
Wanawaza Mambo makubwa sana.
Technologia.
Sciance.
Tafiti nk

Vijana wetu wanawaza mkongo, topo, DAWASCO, uvinza nk
HII NI LAANA.
Shwine.
 
Ndio mawazo ya vijana wetu wa kitanzania.

Hakuna umasikini Mbaya kama umasikini wa Fikra.
JK Nyerere.

Vijana WA kichina Russia Islael.
Wanawaza Mambo makubwa Mno.
Technologia kubwa Sana.

HII NI LAANA.
Hata ukiyawaza hayo mambo makubwa hapa bongo hutoboi ni kazi bure vijana wamejikatia tamaa ila maisha lazima yaendelee ndio hichi sasa mikongo na mingine mingine..
 
Ndio mawazo ya vijana wetu wa kitanzania.

Hakuna umasikini Mbaya kama umasikini wa Fikra.
JK Nyerere.

Vijana WA kichina ,Russia ,Islael.
Wanawaza Mambo makubwa sana.
Technologia.
Sciance.
Tafiti nk

Vijana wetu wanawaza mkongo, topo, DAWASCO, uvinza nk
HII NI LAANA.
Shwine.
Uko sahihi,sasa hawa wamekaa sehemu wanajisifu kufanya laana kama hii..
 
Ukiona kijana anapambana na booster ujue ana hitilafu na ukimpa mkeo chini ya miezi 6 atakuwa keshamshindwa kwa sababu ngono kwake inahitaji maandalizi achilia mbali uwezo wa kutimiza majukumu. Watu wenye hitilafu hii hata majukumu hawawezi sababu hawana uwezo wa comitment. Ukiwapa majukumu ya mke tatizo linakuwa kubwa zaidi hata mkongo unamsaliti.

Wanawake wengi wanajua haya, mkeo pamoja na kupakiwa mkongo ukimwambia haya nenda huko ili upakiwe mkongo kila siku atapiga ukunga maana anajua huyo ni mwanaume wa masaa tu baada ya hapo hamna mwanaume.

Wasiojua ndo huwa wanaenda halafu baada ya miezi kadhaa wanaanza kutuma wazee wenye busara. Kwa kawaida Nguvu za asili tulizopewa zinatosha mpaka pale panapotokea hitilafu.
 
Back
Top Bottom