Unamsaidiaje mzazi kama huyu aliyekuwa anakataa mwanaye kutokuwa mtukutu?

Unamsaidiaje mzazi kama huyu aliyekuwa anakataa mwanaye kutokuwa mtukutu?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Wakati anapewa malalamiko ya tabia za mwanae alikuwa anaona mwanae anaonewa, unamwambia mwanao anavuta bangi huyu mama anakuja juu mnamsakama mtoto kisa hana baba

Mtoto anatoroka shule anakwenda shinda beach siku nzima walimu wanatoa taarifa za mtoto unamwambia mama yake mama anasema walimu waongo wachonganishi nimeongea na mtoto anasema shule anafika, unanyamaza kimya

Siku ya siku mtoto anakutwa na ushahidi ana funguo malaya anaibia wenzake, mtoto kumuhoji vizuri akakubali kuhusika na wizi na kuvuta bangi akapigiwa simu mama yake amsikilize mtoto wake mama anaangua kilio

Now anapiga simu kusumbua watu wamsaidie mtoto ahamishwe shule maana amefukuzwa. Mwanzo walimrudisha darasa nyuma mimi kumsikiliza mtoto nikaona kama wanamuonea nikapiga simu kwa afisa elimu mkoa kumlalamikia kuja kufuatilia mtoto hakufanya examination, dah niliona aibu sana leo tena kwa hili hapana

Malezi magumu
 
Yani mtoto anayelelewa na mzazi mmoja hasa mama, kuna 90% za kuharibikiwa.
Kabisa huyu kajazwa upumbavu na mama yake ukimsema kidogo ana kujibu mna ninyanyasa kisa mama yangu masikini uyo mama yake kutwa kuntambulisha mtoto baba wapya leo kamtambulisha juma kesho hamisi ni vile dada yangu ila ningekuwa ndio mkubwa ningekuwa nisha mzibua makofi
 
Ni dada yako tu hayuko vizuri kwenye malezi... Na u single mama hauhusiki hapo!!.

Tabia mbaya ya mtoto yeyote yule huanza akiwa mdogo!!!! Sasa mzazi haonyi Wala kukemea mapema mtoto akishakuwa mkubwa na madhara ya hizo tabia mbaya huwa kubwa.
Hajachelewa huyo mtoto peleka shule za jeshi kama Bado zipo atarudi malaika, au peleka seminary
 
Jitegemee sasaivi ina lea watoto kizungu enzi zile sisi tuna soma ilikuwa hatari sana sasaiv shule za jeshi makali yame pungua
 
Jitegemee sasaivi ina lea watoto kizungu enzi zile sisi tuna soma ilikuwa hatari sana sasaiv shule za jeshi makali yame pungua
Ok,, usimkatie tamaa huyo mtoto mnyoosheni ni lazima Kuna namna....
Basi peleka zile shule za kibabe kama kule sengerema kama sijakosea. siku hizi hazipo!.
Kwenye ukoo wenu hakuna shangazi mnoko akamnyooshe!?
Huyo mtoto atakuja kuwa mzigo katika ukoo na familia yenu kiujumla
 
Sasaiv watu wamepunguza unoko
 
Wanaharibu watoto kisingizo mtoto hana baba nilimuuliza yeye ndio wakwaza kutokuwa na baba? Aliwaka vibaya
Hilo swali, lazima lijibiwe kwa hasira..maana umeuliza swali la logic,kitu ambacho yeye hataki kujua anaishi zake na hisia...hahaha,

Logic ni kwamba sio mtoto wa kwanza,haha
 
Hilo swali, lazima lijibiwe kwa hasira..maana umeuliza swali la logic,kitu ambacho yeye hataki kujua anaishi zake na hisia...hahaha,

Logic ni kwamba sio mtoto wa kwanza,haha
Ukianza kumpa kichwa mtoto ata kusumbua
 
Back
Top Bottom