florencentarajoel
Member
- Sep 10, 2016
- 78
- 42
Metch inaendelea zidane, Rinaldo, figo, beckam wote wapo nje utajiuliza na matokeo yanatoka real Madrid 4 bercolona 01
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kakudanganya?? umeanza kuangalia mpira kipindi cha mes na c. ronaldo weweUongo, wamecheza awamu tofauti hao.
Uongo, wamecheza awamu tofauti hao.
Mkuu kurudi nyuma hadi lini? Unaijua The dream Team ya Barcelona ya miaka ya tisini mwanzoni? Bahati nzuri nimekuwa shabiki wale wanaitwa plastic fan. Nimeshabikia timu zote hizi kwa nyakati tofauti kwa sababu tofauti inaweza kuwa mpira safi au mchezaji flani maarufu au ubora wake. Unawezaje kutomshabikia Ronaldo de Lima au Zizzou? Au unawezaje kutomshabikia Rolnadhno gaucho au unawezaje kutoshabikia Tik Tak ya Barca ile ...?Nakubaliana na wewe kabisa...
Maana 2005 kurudi nyuma madrid ilikuwa kama Beryan Munich vileee
Maana walikuwa hawana mpinzani na walikuwa wanachukua kombe mara kwa mara.
Ndo mana unaona Real madrid wana makombe mengi kuliko Barcelona
hapa umenikumbusha saint GAUCHOMkuu kurudi nyuma hadi lini? Unaijua The dream Team ya Barcelona ya miaka ya tisini mwanzoni? Bahati nzuri nimekuwa shabiki wale wanaitwa plastic fan. Nimeshabikia timu zote hizi kwa nyakati tofauti kwa sababu tofauti inaweza kuwa mpira safi au mchezaji flani maarufu au ubora wake. Unawezaje kutomshabikia Ronaldo de Lima au Zizzou? Au unawezaje kutomshabikia Rolnadhno gaucho au unawezaje kutoshabikia Tik Tak ya Barca ile ...?
1. Ronaldo de LimaUongo, wamecheza awamu tofauti hao.
Metch inaendelea zidane, Rinaldo, figo, beckam wote wapo nje utajiuliza na matokeo yanatoka real Madrid 4 bercolona 01View attachment 399044
nipe jumla ya makombe yote ya Madrid na tulinganishe na ya BarcelonaNakubaliana na wewe kabisa...
Maana 2005 kurudi nyuma madrid ilikuwa kama Beryan Munich vileee
Maana walikuwa hawana mpinzani na walikuwa wanachukua kombe mara kwa mara.
Ndo mana unaona Real madrid wana makombe mengi kuliko Barcelona
nipe jumla ya makombe yote ya Madrid na tulinganishe na ya Barcelona
Kwa hesabu hii barca ndo ana makombe mengiREAL MADRID
Hispania Real madrid imeshinda makombe yafuatayo
32 La Liga titles,
19 Copa del Rey
9 Supercopa de España
1 Copa Eva Duarte
1 Copa de la Liga
Kimataifa Real MADRID IMESHINDA MAKOMBE YAFUATAYO
11 European Cup/UEFA Champions League
3 Intercontinental Cups
2 UEFA Cups
3 UEFA Super Cups
1 FIFA Club World Cup.
BARCELONA
Hispania Barcelona imeshinda makombe
24 La Liga
28 Copa del Rey,
12 Supercopa de España
3 Copa Eva Duarte
2 Copa de la Liga
Kimataifa Barcelona imeshinda makombe
5 UEFA Champions League
4 UEFA Cup Winners' Cup
5 UEFA Super Cup
3 Inter-Cities Fairs Cup
3 FIFA Club World Cup
1. Ronaldo de Lima
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1993–1994 Cruzeiro 14 (12)
1994–1996 PSV 46 (42)
1996–1997 Barcelona 37 (34)
1997–2002 Inter Milan 68 (49)
2002–2007 Real Madrid 127 (83)
2007–2008 Milan 20 (9)
2009–2011 Corinthians 31 (18
2. Luis Figo
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1989–1995 Sporting CP 137 (16)
1995–2000 Barcelona 172 (30)
2000–2005 Real Madrid 164 (38)
2005–2009 Internazionale 105
3. David Beckham
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1992–2003 Manchester United 265 (62)
1994–1995 → Preston North End (loan) 5 (2)
2003–2007 Real Madrid 116 (13)
2007–2012 LA Galaxy 98 (18)
2009 → Milan (loan) 18 (2)
2010 → Milan (loan) 11 (0)
2013 Paris Saint-Germain 10 (0)
Total
4. Zinedine Zidane
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1989–1992 Cannes 61 (6)
1992–1996 Bordeaux 139 (28)
1996–2001 Juventus 151 (24)
2001–2006 Real Madrid 155 (37
Hawa walicheza wote kwa pamoja msimu wa 2003 - 2005.
Kipindi hicho mpira tunaangalia ITV kupiia channel ya Ufaransa mdhamini akiwa TOTAL.
Jamaa gani?Vipi jamaa kashindwa kupangua hapo nini?