Unamshauri nini Diamond katika Ngoma yake na Rich Mavoko inayokuja?

Unamshauri nini Diamond katika Ngoma yake na Rich Mavoko inayokuja?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

Aisee kwanza huyu jamaa anastahili Hongera nyingi sana, Huyu ni identity ya taifa kwa sasa within and outside of Africa.

Huyu jamaa pia ana busara na moyo wa kiume sio wa kulialia, juzi alipokosa award ktk MTV awards aliwapa moyo wasanii wenzake wa kitanzania katika ujumbe aliouandika instagram kutokata tamaa kwani watazichukua tu.

Ingawa atakuwa busy sana mpaka mwakani ila Salam amesema kuwa Diamond bado anatoa nafasi kwa watanzania kumshauri afanye nini ili kuboresha mara dufu nyimbo zake hususan videos.

Katika kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platnumz ameishaimba na

Harmonize wimbo wa BADO

Rayvanny wimbo wa SALOME

wimbo utakaofuata ataimba na Rich Mavoko (pacha wake kisauti)

Unamshauri nini SIMBA?

Mimi namshauri kwanza katika video yake asimtumie Mwanamke wa kizungu as his Video Queen.

Kuna mabinti wa kiafrika hasa wa kitanzania wazuri sana tu na inapendeza akiwatumia hao na sio wazungu.

Toa ushauri wako wa kuboresha kazi ya Platnumz.
 
Huku tulipofikia kweli kubaya,ile 1/4 kweli ipo.maana haiwezekani binadamu mwenye akili timamu akatoa ushauri kwa mnyama.
Ila kichaa kabisa ni yule anayesoma na kucomment post ya aliyepo 1/4.
 
Ninavho Mshauli alipo diamond saivi haitaji kiki za akina alikiba mara cjui akina mobeto mara wale akina wema. hwwa wote hawawezi kusimama bira diamond ila diamondi anaweza kusimama pasipo kuwapa nafasi hao mafuallah kumdandia mgongoni na kupata ujiko kupitia yeye.

Anachotakiwa kujua diamond msanii yeyote akitoka ukooooh duniani lazima aombe kujuzwa kuhusu diamond au aombe kumiti nae. Kwahiyo ajiweke kimataifa sana na isitoshe kwa sasa yeye ndiye msanii anaye fanya mzik na bendi yake binafsi.
 
namshauri afanye video ya kawaida (reality)
asivae nguo nyeupe, nyekundu wala nyeusi
afanye video kama ya mwana Fa "asanteni kwa kuja " au kissing ya yemi alade
namna zilivong'aa
asitumie background nyeupe wala yoyote
yani afanye kitu cha kweli....
makorombwezo mengine afanye tu hata akiweka wanawake wa kifilipino this tym ni sawa tu...
ila rangi nyeupe kwenye video atoe
na asivae vitu vyeupe wala vyekundu/ nyeusi
hapo tutaona mabadiliko haswaaa
kama ya salome! sema tu salome ina background colour kama photoshoot
 
Rang unazokataa ni rang common na hazikwepek, white background ni muhm maan husaidia kupunguz usumbuf wa ktafta location hata acpotumia nyeup lazm background itahusika maan ndo iko on fire, angalia no limit ya usher, sorry beiber, minaj. Na wengn
 
tatizo diamond kazidisha karibu video zke zote
 
Ushauri kwa Mondi kama atafika makubaliano na Lupita Nyong'o amtumie kama video queen wake kwenye video yake yoyote ijayo, Lupita ana mvuto wakiafrika haswa na mashabiki wengi duniani.
Huu unaweza kuwa ushauri mzuri sana mkuu.
 
Aaache kupiga kelele kwenye nyimbo
Tunataka kusikia maneno anayoyaimba
Hili pia ameshauriwa na wengi, kwakuwa nyimbo za Diamond alizoimba peke yake ujumbe unasikika vizuri kuliko akishirikisha au akishirikishwa pia kama kwenye Kidogo na p square.
 
Aimbe sauti iliyotulia kama kwenye number one na mbagala...
 
Ashuti video za kawaida kama zakina Tekno,,asiandae mazingira ya kutengeneza...Ashuti hata njiani au mstuni...
 
Back
Top Bottom