Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.