Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Mimi nataka Mjep na cocastic wafunge ndoa kabisa waache kumegana kisela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wee unatafutaa kurogwaa kwa nguvu, kwann lakinii unalazimishaa urogwee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuwiiiii🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Huyu Cute Wife ameniponzaa
Kwako sifurukuti sweetheart
 
Wee unatafutaa kurogwaa kwa nguvu, kwann lakinii unalazimishaa urogwee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nipe namba za mganga wako na mimi nimroge azam tv burudani kwa wote CW
 
Back
Top Bottom