Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Nakubusu dadaangu nakupenda sana na huyo paka wako [emoji8][emoji7][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847]

-huna baya na mtu.
-mcha Mungu.
-mchapa kazi.
-mzuri wa sura na umbo [emoji28][emoji12]
-usiye na makuu.
-mshauri mzuri.
-mcheshi.
-ww sio cheap
Daaaah mumeo anafaidi sana.

Huna hata mdogo wako wa kike unisogezee hapo [emoji846][emoji846] vizuri kula na mimi kaka yako bana [emoji56][emoji3526][emoji41] maana wife materials mmebaki wachache sana [emoji2] [emoji16][emoji16]

View attachment 2604102View attachment 2604103
Ulikuwa lazima ule ban....sio kwa rangi hizo [emoji23]
 
Sera zangu tamu Zipo kwa ajili yako, hapa wavimba macho wengi watagonga ulimbo unase kama chiriku. Njoo PM nikupe yaliyobaki.
😂😂😂😂
Bas inatosha. Fungua PM nakuja. Nkishaingia tu ufunge PM chap.
 
Back
Top Bottom