Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Tangu juzi muulize Mzee wa kupambaniaUmeanza kuwa serious toka lini eee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu juzi muulize Mzee wa kupambaniaUmeanza kuwa serious toka lini eee
Sawa sasa umefika wakati na mimi nitengeneze akaunti moja ya lishangazi la kwenda niwanase akina Analyse na Johnnie Walker 🤣🤣🤣
Utamnasa huyo dogo tu 😅😅Sawa sasa umefika wakati na mimi nitengeneze akaunti moja ya lishangazi la kwenda niwanase akina Analyse na Johnnie Walker 🤣🤣🤣
Usisahau avatar weka picha ya pisi kali, mafisi wakiona tu wajichanganye wenyeweSawa sasa umefika wakati na mimi nitengeneze akaunti moja ya lishangazi la kwenda niwanase akina Analyse na Johnnie Walker 🤣🤣🤣
Nashangaa, kwanza hata unajua pm ni nini kweli my wangu?Nitake nini mm kwenye pm za wengine wakati my wangu upo?
Hahahaa hapa niko natafuta avatar ya mrembo mmoja matata unamtetea tu huyo we ngoja uone atakavyonasa 😅Usisahau avatar weka picha ya pisi kali, mafisi wakiona tu wajichanganye wenyewe
Ila my wangu Analyse hana hizo tabia za kuwinda
Akinasa nitajua tu watu wamemloga sio akili yake😅Hahahaa hapa niko natafuta avatar ya mrembo mmoja matata unamtetea tu huyo we ngoja uone atakavyonasa 😅
Oh yeah nipo.Hatimaye umerudi.
Nimefurahi kukuona hapa mrembo. Hope you are doing well!!
Yeah,Niko poa sana madam.Oh yeah nipo.
Hope you are good too
Hata sijui maana ya pm kipenzi. Najua hiyo M inamaanisha Moderators, P hata sielewi Mimi 😅Nashangaa, kwanza hata unajua pm ni nini kweli my wangu?
Waache kukusingizia vya uongo
Na hata usitake kuelewa kipenzi, maana haina faida kwetu🤗Hata sijui maana ya pm kipenzi. Najua hiyo M inamaanisha Moderators, P hata sielewi Mimi 😅
Sawa kipenzi, nawapotezea wote 😍😍Na hata usitake kuelewa kipenzi, maana haina faida kwetu🤗
Thank you,nakupenda piaaa ❤️Nakubusu dadaangu nakupenda sana na huyo paka wako 😘😍🥰😘😘🤗🤗
-huna baya na mtu.
-mcha Mungu.
-mchapa kazi.
-mzuri wa sura na umbo 😅😜
-usiye na makuu.
-mshauri mzuri.
-mcheshi.
-ww sio cheap
Daaaah mumeo anafaidi sana.
Huna hata mdogo wako wa kike unisogezee hapo 🙂🙂 vizuri kula na mimi kaka yako bana 😇☺️😎 maana wife materials mmebaki wachache sana 😃 😁😁
View attachment 2604102View attachment 2604103
Ila hii rangi ya school bus kwenye maandish umejua kunikomesha mdogo wangu 😅😅😅Nakubusu dadaangu nakupenda sana na huyo paka wako 😘😍🥰😘😘🤗🤗
-huna baya na mtu.
-mcha Mungu.
-mchapa kazi.
-mzuri wa sura na umbo 😅😜
-usiye na makuu.
-mshauri mzuri.
-mcheshi.
-ww sio cheap
Daaaah mumeo anafaidi sana.
Huna hata mdogo wako wa kike unisogezee hapo 🙂🙂 vizuri kula na mimi kaka yako bana 😇☺️😎 maana wife materials mmebaki wachache sana 😃 😁😁
View attachment 2604102View attachment 2604103