Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Kuwa makini mpwa. Humu kuna watu Wana accounts 3 na huwa wanajitag kwenye matukio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

ID yoyote ikikufata pm, niambie kwanza. Unaweza kuta unatongozwa na mtu mmoja, ila kupitia ID tatu tofauti πŸ˜…πŸ˜…
sawa mjomba nimekuelewa πŸ˜…
 
Kwa haraka haraka, unaweza hisi hizi ni account mbili, kumbe ni mtu mmoja anacheza na akili zetu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hebu tumeni kapicha tu pruvu
Apostle leo umekunywa double kick asubuhi subuhi wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…