Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Rafiki yangu ni mimi mwenyewe. Simuamini mtu yeyote maishani mwangu. Kuna kipindi sijiamini hata mimi mwenyewe na mambo yangu mwenyewe.

Kila anaejua jambo langu ni lile nililolitaka alijue sio sababu ananijua sana ama ni mtu wangu wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ