Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kimsingi haupaswi kumuamini rafiki yako na rafiki yako hapaswi kujia lolote kwenye maisha yako.Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ??
😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
Mtu unaepaswa kumuamini ni mtu wako wa karibu (inner cycle) and not a friend.